Burudani

Rapa Iggy Azalea amepata mpenzi mpya, kwa mara ya pili nae ni mwanamichezo mkubwa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa Iggy Azalea ameripotiwa kuwa na mahusiano na mchezaji wa ligi ya NFL, Odell Beckham Jr.

Iggy na Beckham Jr. wameonekana zaidi ya mara moja wakiwa pamoja kwenye sehemu za bata na tayari mapaparrazi wanaimani penzi lao ni MOTOMOTO Sana kutokana na usiri wa maisha ya Iggy mpaka kuamua kuonekana karibu na Odell basi mambo SAFI.

Rafiki wa Odell alithibitisha taarifa hizi kwa kusema ‘Walikuwa pamoja na bado wako pamoja’.

Huyu ni mwanamichezo mkubwa wa pili kuwa na mahusiano na Iggy Azalea toka amepata umaarufu, wakwanza alikuwa mcheza kikapu wa Golden State Warriors, Nick Young.

JOTI Mchekeshaji mkongwe Tanzania amefunga NDOA

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open