Burudani

Tetesi, Iggy Azalea ajiunga na Roc Nation ya JAY-Z

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa wa kike kutoka Australia Iggy Azalea amezushiwa kujiunga na lebo ya JAY-Z Ya Roc Nation siku chache baada ya kuanza kufanya kazi na kampuni ya muziki ya TIDAL .

Picha kutoka kwenye IG Yake imesambaa ikimuonyesha akiwa kwenye ofici za Roc Nation ila mpaka sasa haujathibitishwa kama Iggy Azalea amejiunga na Roc Nation au Bado yupo Def Jam.

Tetesi hizi zimeibuka baada ya Iggy Azalea kutajwa kufanya show kwenye sherehe ya kuadhimisha mwaka mmoja wa mahusiano ya kibiashara kati ya Mercedes-Benz Na TIDAL , Show hii itafanyika Frankfurt, Ujerumani 15 September 2017.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open