Burudani

Irene Uwoya alivyothibitisha kuwa Dogo Janja ndio mume wake….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Irene Uwoya ameweka wazi kuwa ana furaha sana kuwa mke wa Dogo Janja na kwamba ndio mwanaume wa ndoto zake.

Kupitia Instagram Irene Uwoya aliandika >I married the man of my dreams. I’m still crying happy tears. @dogojanjatz …I love you & am excited to spend the rest of my life with you >Akimaanisha “Nimefunga ndoa na mwanaume wa ndoto zangu, bado ninalia machozi ya FURAHA na ninafuraha kuishi na wewe maisha yangu yote“.

Kauli ya Mwana FA kuhusu kumaliza BEEF Na Lady Jay Dee ‘Jide’,Alichosema Fid Q na Ay Pia

Nahreel atangaza rasmi kuwa mpenzi wake, AIKA ni mjamzito

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open