Burudani

Picha,Busu la mdomo kati ya Irene Uwoya na Dogo Janja kwenye harusi yao

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Picha hii imekuwa miongoni mwa ushahidi mkubwa kuwa msanii wa muziki Dogo Janja na msanii wa filamu Irene Uwoya ni mtu na Mke wake.

Ikiwa bado kuna watu wanamashaka na jambo hili, wakidai ni video au filamu mpya ya Irene au staa mwingine wa filamu, mpaka sasa walichoonyesha jamii ni kuwa Dogo Janja na Irene ni mtu na mpenzi wake.

Povu la Nay Wa Mitego kuhusu kifo cha Bongo Fleva na KIKI La Dogo Janja na Irene Uwoya

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open