Burudani

J. Cole awasajili wasanii wa kundi la EarthGang ‘Johnny Venus Na Doctur Dot’ kwenye lebo ya Dreamville

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa wa Roc Nation, J. Cole awasajili wasanii wa kundi la EARTHGANG ‘Johnny Venus Na Doctur Dot’ kwenye lebo ya Dreamville

J. Cole amewapa lebo wasanii hawa wa Atlanta, na sasa watakuwa wakifanya kazi chini ya DreamVille Music.

Wasanii wa Dreamville watafanya show kwenye tamasha la Made in America mwaka huu

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open