Burudani

J. Cole , Wizkid & Davido kwenye jukwa moja Nigeria

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Staa wa HipHop Chini ya Roc Nation ya JAY-Z , J Cole anakuja nchini Nigeria kufanya show April mwaka huu.

J. Cole atafanya show mjini Lagos kwa mara ya kwanza na wasanii kama Wizkid na Davido.

Ni show ya Castle Lite Unlocks iliyopewa jina “Nigeria’s Coolest Concert” kufanyika  Eko Hotel & Suites  April 27 na hakuna tiketi zinazouzwa, ni show ya waalikwa tu.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open