Burudani

Rasmi, Jay Sean kufanya colabo na Davido….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Msanii wa Muziki Kutoka Nigeria Davido amekubali kufanya colabo na msanii kutoka Uingereza Jay Sean.

Taarifa hii imekuwa rasmi kuwa colabo hii ni ya wimbo wa Jay Sean na staa huyu alitangaza ujio wa kazi hii kupitia twitter akimtaja Davido.

Wimbo huu wa Jay Sean Ft Davido umepewa jina ‘Know What You Want’ na ni miongoni mwa nyimbo zilizopangwa kumrudisha tena Jay Sean kwenye ramani ya muziki duniani.

Jay Sean alikuwa miongoni mwa wasanii wakubwa wa Young Money miaka kadha iliyopita.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open