Burudani

Jacqueline Wolper; Kati ya Pesa na Mapenzi, Nitachagua Pesa Kwanza ila pia sitaki pesa inifanye mtumwa..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mfanya biashara na staa wa filamu Tanzania Jacqueline Wolper amesema kupitia IG Yake kuwa Kati ya Pesa na Mapenzi, atachagua Pesa Kwanza ila pia sitaki pesa inifanye mtumwa, Wolper alianza kwa kulalamikia watu wanaofuatilia maisha ya watu wengine….

Wolper ameandika maneno hayaKuna watu wanapenda sana kufikiria watu kuliko maisha yao binafsi kwa mfano mtu anaweza kukujudge kwa macho kuliko kukujua,kwa mfano mm napenda sn kuwa na ela mda mwingi na hata mawazo yangu pia mengi yanakuwaga ya ela!kwa mfano nikikaa nawaza nifanye nn nipate ela,nawaza ela sn mda mwingi!”

Anaendelea Hapa>>”Kweli kuna mapnz ktk maisha yangu na ninajipa mda wa mapnz! Lkn nikisema nijilinganishe kati ya mapnz na ela!Kwakweli pesa kwanza,Ingawa pia sitaki pesa inifanye mtumwa,nataka niipende bila kufanya vitu vilivyo nje ya uwezo wangu na pia pesa inaleta heshima hata kwenye mahusiano!ukiwa mwanamke wakutojituma bwana majibu ni kwamba mwanaume anakuchukulia poa na hatokaa aku appreciate kwa chochote kwasababu hujui kujitafutia,Na mm pia mtu aninyanyase kisa ela ninayoweza kujitafutia mwenyewe hilo siwezi kuvumilia ndo maana,nawaza mda mwingine mpk naota mishono nikilala 😂😂Lkn kwa msionijua mtasema napenda mapnz ni kwasababu tu nimewapa nafasi mjue maisha yangu ya mahusiano…

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open