Burudani

Video,Jacqueline Wolper akimpa Busu mpenzi wake,wimbo wa Ali Kiba Unasikika

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Ex wa Harmonize Jacqueline Wolper ameonyesha kupenda muziki wa Ali Kiba, Diamond Platnumz na wasanii tofauti Tanzania kwa kuPost kazi zao kwenye IG Yake.

This Time ameweka Intor ya wimbo wa Ali Kiba #SeduceMe huku akimpa Busu Mpenzi wake #Brown kwenye Video fupi, Tazama hapa chini.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open