Habari

Video, Jacqueline Wolper kafunguka kuhusu beef na tusi la Mange Kimambi,Sarah wa Harmonize, mahusiano na Mh Paul Makonda…..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Bongo Movie Diva Jacqueline Wolper kazungumza na #SammisagoNEWS  kuhusu mitandao ya kijamii Tanzania, beef na Mwana Harakati maarufu Afrika Mange Kimambi, tusi kuhusu mwili wake na madhara aliyopata kwa familia yake,

Pai Jacq kazungumza kuhusu kufananishwa na Sarah wa Harmonize, mahusiano na Mh Paul Makonda…..

BillNass Kafunguka kuhusu Beef, Stress za GodZilla, alivyoipokea Diss Ya Wakazi ‘ZillNass’

#SammisagoNEWS  #StoriByMelisa

Weka Comments Hapa

Open