Burudani

Jaden Smith ajigeuza Bruce Wayne kwenye video ya wimbo wake mpya ‘Batman’ itazame hapa…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mtoto wa Will Smith, Jaden Smith ajigeuza Bruce Wayne kwenye video ya wimbo wake mpya ‘Batman‘, kwenye video hii Jaden kava suti nyeupe badala ya nyeusi kama anayovaa BatMan.

Video imefanyika kwenye eneo maarufu duniani la Hollywood Walk of Fame.

Video,Amber Lulu amkataa Shilole, atoa kauli ya mwisho kuhusu Mahusiano na Young Dee, je kweli kalala na Prezzo….

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open