Burudani

Picha,Janet Jackson na Ex wake Wissam Al Mana mahakamani kukamilisha talaka yao…..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Pop staa Janet Jackson na aliyekuwa mume wame Wissam Al Mana walionekana pamoja wiki hii kwenye eneo la mahakama wakianza shughuli za kufuatilia na kukamilisha talaka yao.

Janet na Wissam Al Mana walionekana kwenye mahakama ya Royal mjini London, Janet alikuwa na msaidizi wake na mawakili wake, Billionaire Wissam Al Mana alikuwa mwenyewe.

Janet na Wissam walifunga ndoa mwaka 2012 na kupata mtoto mmoja wa kiume Eissa January mwaka 2017, walitengana baada ya miezi michache.

Video,Amber Lulu amkataa Shilole, atoa kauli ya mwisho kuhusu Mahusiano na Young Dee, je kweli kalala na Prezzo….

Exclusive, Stereo Afunguka kuhusu kujiunga WCB WASAFI, Aliyesababisha Colabo na Rich Mavoko,Nani mkali kati ya Godzila Na Wakazi ?

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open