Burudani

Picha mpya za Pop staa Janet Jackson akiwa na mtoto wake Eissa,

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Picha mpya za msanii wa Pop Janet Jackson akiwa na mtoto wake Eissa, walikuwa wametoka kwaajili ya chakula cha mchana West Hollywood wiki hii

Janet amekuwa na ulinzi mkubwa toka taarifa za kunyanyaswa na mume wake kutolewa na kaka yake, waandishi wa habari na mapaparazzi wamekuwa wakimfuatilia na kumuandama kila aendapo ili kupata chochote kutoka kwake kuhusu tuhuma za kunyanyazwa, kuintwa kahaba na kutukanwa na aliyekuwa mume wake Wissam Al Mana.

 

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open