Burudani

Staa wa Fast and furious Jason Statham na mchumba wake wanategemea kupata mtoto wao wa kwanza.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mwigizaji maarufu Jason Statham na mchumba wake Rosie Huntington-Whiteley wametangaza rasmi kuwa wanategemea kupata mtoto.

Mama mtoto kaandika hivi instagram “Very happy to share that Jason and I are expecting! Lots of love Rosie x. Photo by @jasonstatham.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open