Burudani

Jay Z afanya colabo na Damian Marley…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

HipHop staa Jay Z amefanya colabo na Damian “Jr. Gong” Marley alivyokuwa Jamaica hivi karibuni.

Damian amedhibitisha hili kwenye mahojiano na Billboard, msanii huyu wa reggae amesema colabo na Jigga imefanyika baada ya kumpa ziara kubwa ya muziki mjini Kingston, Jamaica.

Colabo hii imechangia tetesi kuwa Jay Z anarekodi album mpya ndio maana anakubali colabo ili kutengeneza mazingira ya kurudi kwenye masikio ya watu.

#SammisagoNEWS

 

Weka Comments Hapa

Open