Burudani

Kwa mara ya kwanza Jennifer Lopez azungumzia mahusiano na Drake….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Pop staa Jennifer Lopez ameongelea mahusiano yake na Drake kwa mara ya kwanza huku akidai walikuwa kama washkaji tu.

J Lo anasemaTumefanya colabo, ilikuwa ni wimo wake aliotaka nishiriki, sijui atafanya nini na huo wimbo“.

Kuhusu kutoka naye kimapenzi J Lo anasema Sichagui kama  ni kijana mdogo au mkubwa ila nikimpenda mtu basi nakuwa naye, kuhusu Darke, mimi na yeye tulikuwa pamoja tu kama washkaji

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open