Burudani

Picha, Jhené Aiko ajichora tattoo ya sura ya Big Sean, mapenzi moto moto

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Tattoo ya sura ya rapa Big Sean imeonekana kwenye mkono wa Jhené Aiko ikiwa ni Siku chache baada ya Rnb staa huyu kukamilisha talaka yake na Ex wake ambaye ni Producer Dot da Genius

Jhené Aiko amekuwa kwenye mapenzi moto moto na rapa wa G.O.O.D Music Big Sean toka kutengana na mume wake miezi 11 iliyopita huku pakiwa na taarifa kuwa Big Sean ndiye aliyevunja ndoa yake.

Tattoo ya Big Sean kwenye mkono wa  Jhené Aiko imechorwa namchoraji kutoka Sweden Miryam “The Witchdoctor” Lumpini

Kumbe sio Nuh Mziwanda tu ana haya mambo,

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open