Burudani

Jhené Aiko akanusha kuchepuka na Big Sean….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya ukimya wa muda mrefu, msani wa Rnb Jhené Aiko amefunguka juu ya ndoa yake kuvunjika ndani ya miaka miwili na kusema sababu haikuwa mahusiano yake na Big Sean.

Jhené Aiko aliachana na mume wake Dot Da Genius huku pakiwa na tetesi kuwa alichepuka na Big Sean na kuendelea kubaki naye ndio maana mume wake aliomba talaka.

Aiko pia aliongezea kuwa mume wake hakuwa muaminifu kwenye ndoa yao, pia amethibitisha kuwa kwneye mahusiano yake yote wanaume humsaliti yeye kwanza ndio maana anaachana nao.
Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open