Burudani

Video, Mchekeshaji mkongwe Tanzania Lucas Muhuvile AKA JOTI amefunga NDOA

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mchekeshaji mkongwe na maarufu Tanzania na Afrika Mashariki Lucas Muhuvile AKA JOTI amefunga NDOA na mchumba wake leo Jumamosi ya October 28 2017.

kwenye IG Yake Joti aliandika maneno haya baada ya kutoka Kanisani>>Alichokiunganisha Mungu
Mwanadamu asikitenganishe”

Hongera kwa Joti na Mke Wake, Tunawatakia Maisha Mema kwenye Ndoa Yenu.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open