Burudani

Muigizaji John Heard uliyemuona kwenye za Home Alone kama baba yake Kelvin amefariki dunia

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Muigizaji John Heard uliyemuona kwenye filamu za Home Alone kama baba yake Kelvin,amefariki dunia.

TMZ imeripoti kuwa zinaripoti kuwa John Heard alikuwa amefariki Ijumaa kwenye chumba cha Hotel moja huko Palo alto mjini California,alikuwa mapumzikoni baada ya kufanyiwa upasuaji.

Sababu ya kifo bado haijagundulika
Exclusive,Mambo matano aliyosema Director Khalfani Baada ya kufanya kazi na Harmonize Wa WCB Wasafi.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open