Burudani

Picha,hollywood hawajakosea, John Travolta hapa anaigiza kama boss wa familia ya Mafia ‘The Life & Death Of John Gotti’….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Katika filamu zitakazo chukua sifu kubwa mwaka huu ni pamoja na filamu ya maisha ya aliyekuwa boss wa familia ya Mafia ya Waitaliano ‘John Gotti’ ambayo itaigizwa na staa John Travolta.

John Travolta ataigiza kama Dapper Don kwenye filamu inayorekodiwa kwenye mitaa ya Brooklyn iliyopewa jina “The Life & Death of John Gotti,” .

Travolta anaonekana kufananana kabisa na boss huyo waw familia ya uhalifu na ujambazi ya The Gambino na mke wake Kelly Preston ameigiza kama mke wa Gotti ‘Victoria’.
 
 Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open