Burudani

Picha, Raba mpya za Jordan ‘Air Jordan 11 Retros’.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kwa wapenzi wa raba kali kutoka kwenye kampuni ya vifaa vya michezo ya JORDAN, hizi raba mpya aina ya Air Jordan 11 Retro kwaajili ya kipindi hichi cha sikukuu, wanasema ni Limited Edition.

Sneaker hizi zinafanana na viatu alivyovaa Michael Jordan wakati anacheza na Chicago Bulls kwenye NBA mwaka 1996, viko dukani kwanzia Dec. 9, bei ya reja reja ni dola $220 [ Laki 4 za Tz].

#StoriBy Melisa #SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open