Michezo

Ata baada ya ushindi Jose Mourinho Awaponda wachezaji wake

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Ata baada ya ushindi wa bao 3 bila dhibi ya Basel, kocha Jose Mourinho awaponda wachezaji wake kwa kucheza mpira wa Play Station,

Jose amesema wachezaji wake waliweka juhudi kwenye kuonyesha mpira mzuri zaidi kuliko kufunga zaidi, waliwakosea heshima Basel kwa kucheza mchezo huo na Hajaridhishwa na ushindi wa goli 3 bila dhidi ya Basel

Magoli ya United yalifungwa na Marouane Fellaini , Romelu Lukaku na Marcus Rashford.

Jose anasema “Baada ya kuongoza kwa bao  2-0 tuliacha kucheza kabsa, hii ingeweza kuhatarisha ushindi wetu”

Hii video mpya ya Jamal Ft Chidi Benz ‘Only U’ Itazame hapa

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open