Habari

Walichoandika Jux, Joh Makini, Nay Wa Mitego Na Shilole Kuhusu Mh Tundu Lissu

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Mh Tundu Lissu kupigwa risasi na watu wasiojulikana mchana wa leo Dodoma Tanzania, wasanii mbalimbali wamekuwa wakielezea masikitisho yao juu ya tukio hili huku wengine wakitumia Hash Tag ya Kuomba Maombi Juu yake na Familia Yake.

Hizi ni post za wasanii Jux, Joh Makini, Nay Wa Mitego Na Shilole

Shilole >Hatma ya maisha Mtu yeyote anayo Mungu na si mwanadamu.

Mungu mwenye kutoa uhai na uzima akupe nafuu Mkuu.
WaTanzania tumeguswa na naamini una maombi ya wengi sana.

TANZANIA KWANZA

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open