Burudani

Hukumu ya shabiki aliyevamia nyumba ya Justin Bieber imetoka

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Shabiki Mirabelli Stefania aliyevamia nyumba ya Justin Bieber amekubali kosa alilofanya na jaji kumpa hukumu wiki hii.

Mirabelli Stefania amepewa kifungocha siku nane jela na atakuwa chini ya uangalizi mkali wa polisi kwa muda wa miezi 12, hata ruhusiwa kukaribia nyumba ya Justin Bieber.

Stefania alikamatwa na polisi akijaribu kuingia kwenye nyumba ya Justin huko Bev Hills, USA wiki iliyopita.

Kuhusu Colabo ya Dayna Nange na Tiwa Savage wa Roc Nation Ya JAY-Z

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open