Burudani

Mwanamke aliyekamatwa baada ya kuvamia nyumba ya Justin Bieber

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mwanamke mmoja anayeaminika kuwa SHABIKI Au Mgonjwa wa AKILI amefanikiwa kupenya na kuzama ndani ya uwanja wa nyumba ya Pop staa Justin Bieber iliyopo mjini Beverly Hills.

Polisi wamethibitisha kumkamata mwanamke huyo Jumatatu hii baada ya kupokea simu kutoka kwa walinzi wa Justin Bieber, Rekodi za polisi zinasema hii ni mara ya tatu mwanamke huyu anaonekana kwenye mazingira ya nyumba hio

Shabiki huyo ana umri wa miaka 40 na ni mara ya kwanza amefanikiwa kuingia kwenye kiwanja cha nyumba hio wakatii Justin Bieber akiwa nyumbani ila hakuonana naye.
Alichosema BillNass kuhusu Colabo ya Diamond Platnumz X Rick Ross

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open