Burudani

Video,Mwili wa Justin Bieber umejaa tattoo

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Pop staa kutoka Canada Justin Bieber amezidi kuongeza tattoo zaidi kwenye mwili wake na unaweza kusema mwili wake wote kwa sasa umejaa tattoo.

Katika hii video mpya aliyoweka IG wiki hii, huto amini JB amekuwa mtu wa tattoo mwili mzima kama wasanii wa Rapa Wiz Khalifa, Kid Ink, Lil Wayne, Young thug au YG

Bonyeza Play Kutazama

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open