Burudani

Watu 200 wana hasira na Justin Bieber baada ya kusimamisha ghafla ziara yake ya muziki

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Justin Bieber ameshangaza mashabiki wake baada ya kusimamisha ghafla ziara yake ya muziki ‘Purpose’ huku pakiwa na tetesi kuwa staa huyu amefanya hivi kutokana na sababu za dini,Imani na uchovu.

Katika taarifa kwa vyombo vya habari Justin anasema ziara hii imesimamishwa kutokana na uchomvu na kuchoka sana ikiwa ni takriban miaka miwili sasa ‘Miezi 18’ staa huyu anafanya tour hii, amefanya show 150 kwenye mabara 6

TMZ wameripoti kuwa Justin ameimamisha tour hii sababu ya maswala ya kiimani na dini yake,eti anataka kudumisha mahusiano yake na Mungu.

Watu zaidi ya 200 wamekosa kazi kutokana na kitendo cha Justin Bieber kusimamisha ziara yake ya Muziki Purpose.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open