Burudani

Justin Bieber amekataa kuomba radhi watu 200 waliokosa kazi…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kwa mujibu wa TMZ Pop staa Justin Bieber amekataa kuomba radhi watu 200 waliokosa kazi baada ya kusimamishaa ziara yake ya muziki ya ‘Purpose’ wiki hii.

Staa huyu kutoka Canada alisema ziara hii imesimamishwa kutokana na uchomvu na kuchoka sana ikiwa ni takriban miaka miwili sasa ‘Miezi 18’ staa huyu anafanya tour hii, amefanya show 150 kwenye mabara 6.

TMZ wanasema Justin Bieber amesema watu hao kukosa kazi sio tatizo lake,haya ni maisha yake binafsi.
Bonge La Nyau Amlipa Baraka Da Prince Ili wafanye Colabo

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open