Burudani

Picha, Tattoo mpya kwenye goti la Justin Bieber…..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Hii picha mpya ya tattoo mpya kwenye goti la msanii maarufu wa pop Justin Bieber, tattoo hii imeandikwa “Better at 70” na kupelekea tafsiri kuwa anashauku kubwa ya kufikisha miaka 70.

Justin Bieber ana umri wa miaka 23 na tattoo hii inamaana ‘Anataka kufanya kazi kila siku mpaka atakapofikish miaka 70 ndio atakamilisha mambo yake‘ .

 

Video,Amber Lulu amkataa Shilole, atoa kauli ya mwisho kuhusu Mahusiano na Young Dee, je kweli kalala na Prezzo….

Exclusive, Stereo Afunguka kuhusu kujiunga WCB WASAFI, Aliyesababisha Colabo na Rich Mavoko,Nani mkali kati ya Godzila Na Wakazi ?

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open