Burudani

Baada ya miaka 14, Justin Timberlake katoa sababu za kujitoa kwenye kundi la NSYNC

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Justin Timberlake kwa mara ya kwanza ameelezea sababu za kujitoa kwenye kundi la ‘NSYNC’ na kusema alijali zaidi muziki wa bendi kuliko wasanii wenzake.

Justin anasema Kundi lilizidi kuwa kubwa na palikuwa na tofauti za ubunifu wa wasanii, niliona kama nakuwa mkubwa zaidi yao na mapenzi ya muziki wa bendi yanazidi kuliko wao

Kwenye interview hii Justin hajasema nani alikuwa anategea zaidi kwenye kundi hilo ila kuna tetesi mmoja kati ya
JC Chasez, Chris Kirkpatrick, Joey Fatone,au Lance Bass alikuwa mtegaji….
Video,Dogo Janja kaelezea Mahusiano yake na Nandy yana miaka mingapi, Album na Madee..

Harmo Rapa Azungumzia Kukutana na P Funk, Aonyesha Gari Yake aliyopewa

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open