Burudani

Magari yakifahari ya Kanye West na Kim Kardashian yalivyovamiwa na vibaka

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Magari yakifahari ya Kanye West na Kim Kardashian yaevamiwa na vibaka nje ya nyumba yao huko Bel-Air mida ya saa kumi usiku ijumaa hii.

TMZ imethibitisha tukio hili kutokea huku wakisema vibaka hao wamefanya uharibifu mkubwa na kuiba simu aina ya Iphone iliyokuwa mali ya mfanyakazi wa familia hio.

Camera za ulinzi zimenasa tukio hilo ambalo lilisimama baada ya walinzi wenye silaha kuwakimbiza vibaka hao, walinzi wa Kanye na Kim K kwa sasa wanabeba silaha toka Kim kuvamiwa na majambazi mjini Paris.

Kim K kwa sasa anategemea kupata mtoto wa tatu kutoka kwa mwanamke anaye mbembea mimba huku Kanye akitumia muda wake mwingi studio kutayarisha album yake mpya kwa msaada mkubwa wa Kid Cudi.

My Hustler #Dubai

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open