Burudani

Picha mpya za Kanye West, ameanza kuitwa KIBONGE,

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Muonekano wa rapa Kanye West,40, umebadilika sana toka kuachiwa kutoka Hospitalini baada ya kupata matatizo ya akili.

Kanye ambaye hivi karibuni amekuw ana msongo wa mawazo kutokana na beef lake na JAYZ ameonekana kuongezea Mwili sana huku Internet na dunia ya HipHop ikisema ni STRESS anazopewa na mke wake Kim Kardashian.

Kanye anategemewa kukaa kwenye meza moja na JAY Z hivi karibuni kwaajili ya maongezi ya kupatana

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open