Burudani

Kanye West na Kim Kardashian wanatarajia kupata mtoto wa tatu.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Familia ya rapa Kanye West na Kim Kardashian wanatarajia kupata mtoto wa tatu.

Kanye West na Kim Kardashian watampokea mtoto wao wa tatu mwezi January, 2018 ambapo atajifungua mwanamke aliyebeba mimba yao kwa niaba ya Kim K (Surrogate)

Taarifa hizi tulizi ripoti mwanzoni mwa mwaka huu kuwa Kanye na Kim K wamemlipa mwanadada mmoja nchini Marekani dola za kimarekani $45,000 kubeba mimba yao.

Bi dada huyu hatoruhusiwa kufanya mambo yanayoweza kuhatarisha maisha ya mtoto wa Kim na Kanye West kama kuvuta sigara, kunywa pombe, kutumia dawa za kulevya, kuoga kwenye maji ya mtoto sana, na anatakiwa kula vizuri muda wote.

Kim na Kanye wanawatoto wawili tayari, North West mwenye miaka Minne na Saint wa mwaka mmoja.

Hongera kwa Kanye na Kim K

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open