Burudani

Mara moja tu Kanye West alikubali amekalishwa kwenye wimbo ilikuwa….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa Kanye West ni miongoni mwa wasanii watukutu sana kwenye swala la kukubali kushindwa kwenye jambo lolote, kila kitu kwake ni mashindano….

Kwenye interview kuhusu album yake ‘My Beautiful Dark Twisted FantasyKanye West aliweka wazi kuwa vesi ya #NickiMinaj kwenye wimbo wa #Monster ilikuwa bora kuliko yake nakusema “She kicked my ass, on my own song, on the best album of the last 25 years.” >>Kanifunika kwenye wimbo wangu mwenyewe, katika album bora ndani ya miaka 25.

Moster ilikuwa na vichwa kama Kanye West,Nicki Minaj, Jay Z, Rick Ross na Bon Iver kwenye album ya My Beautiful Dark Twisted Fantasy iliyotoka mwaka 2010

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open