Burudani

Mtoto wa Kanye West ‘North West’ kataja wimbo gani wa baba yake anaupenda zaidi

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mtoto wa kwanza wa kike wa Rapa Kanye West na Kim Kardashian ‘North West’ kwa mara ya kwanza ametaja wimbo wa baba yake anaoupenda zaidi.

Kwenye mahojiano na jarida la Interview North West anasema wimbo anaoupenda zaidi ni wimbo wa  ‘So Amazing’ kutoka kwenye album ya 808s & Heartbreak.

North atakuwa kwenye jarida hilo na mama yake Kim Kardashian mwezi wa tisa.
So Amazing ya Kanye West Ndio Hii

Man Water Amchana Diamond Platnumz kuhusu kushindana na AliKiba

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open