Burudani

Picha, Baada ya Benpol, Ommy Dimpoz, AliKiba na V-Money, sasa Kanye West aweka rangi ya PINK Kwenye Nywele zake,

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Aslay Awajibu Wanaomlinganisha na Alikiba na Diamond Platnumz

#STORI

Kim Kardashian alishangaza mashabiki wake kwa kuweka nywele za Pink na sasa amemshauri mume wake Kanye West kuweka rangi ya PINK kwenye nywele zake.

Weekend hii staa huyu wa hiphop alionekana kwenye picha na shabiki akiwa na nywele za PINK.

Kanye kwa sasa yupo studio akitayarisha album yake mpya itakayokuwa muendelezo wa cd yake ya mwaka 2016  The Life of Pablo  na kusimamia album ya G.O.O.D Music ya Cruel Winter akiwa na Kid Cudi.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open