Burudani

Kanye West aliwahi kutaka kukabwa na vibaka,huyu msanii alimsaidia…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Aliyekuwa msanii wa Roc-A-Fella #BeanieSigel anasema vibaka waliwahi jaribu kumkaba Kanye West kwenye mgahawa flani Chicago ili wampore cheni yake ya Roc-A-Fella aliyopewa na Jay Z ila uwepo wangu na kuwa na bastola kulimsaidia.

#BeanieSigel anasema “Kanye angeporwa cheni yake ya  Roc-A-Fella kama isingekuwa mimi kuingilia na nilikuwa na bastola“.

Zamani Kanye alikuwa ni mtu wa kukaa na washkaji kibao akiwa nje tofauti na sasa ambapo hana muda kabisa.

 

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open