Burudani

Kanye West arudi kujificha milimani ili kuandika muziki

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kanye West na rapa Travis Scott wameenda kwenye milima ya barafu ya mawe ya Wyoming kwenye mjii mdogo wa Jackson Hole katikati ya milima hio ili kutulia na kuandika album mpya.

Wasanii wengine waliosafiri na Kanye West ni pamoja na rapa King Louie na The Dream watakao sikika kwenye album mpya ya Kanye West, Producer Jeff Bhasker na meneja wa Travis wako nao pia.

Sio kawaida kwa Kanye kuhitaji msaada wa watu kwenye mambo yake ya ubunifa kama alivyofanya mwaka huu, jambo hili limeongeza shauku ya mashabiki juu ya kazi zake mpya.

#SammisagoNEWS

 

Weka Comments Hapa

Open