Burudani

Beef la Katy Perry na Taylor Swift lapamba moto, Kitendo cha Katy Perry kukimbia jukwa la tuzo za MTV kimethibitisha

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Sasa Beef la Katy Perry na Taylor Swift limefika pabaya,

Jambo hili limeonekana wazi baada ya Katy ambaye alikuwa host wa tuzo za video za Mtv kukimbia jukwa lake wakati inatambulishwa video ya Taylor Swift “Look What You Made Me Do”.

Baada ya matangazo Katy Perry hakutambulisha video hio, ilichezwa tu moja kwa moja, Taylor Swift hakuwepo kwenye tuzo hizi na alishinda tuzo ya Best Collaboration kupitia wimbo wake na msanii Zayn Malik

Hii ndio video yenyewe.

Man Water Amchana Diamond Platnumz kuhusu kushindana na AliKiba

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open