Burudani

Kevin Hart aomba msamaha familia yake baada ya Drama za Usaliti kufikia pabaya,mambo 5 yakufahamu

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mchekeshaji na mwigizaji Kevin Hart ameomba msamaha familia yake baada ya Drama za usaliti kuchukua hatua nyingine wiki hii.

Mpaka sasa SammisagoTv tumejifunza mambo haya kuhusu Drama hizi

-Kuna mwanamke alirekodiwa akiwa na Kevin Hart kwenye pozi za kimahaba na sasa ametishia kusambaza video hio asipolipwa na Kevin Hart.

-Kevin Hart ameomba msahama mapema kwa mke wake Eniko Parrish mwenye ujauzito kwa sasa na watoto wake wawili kabla mambo hayajaenda mbali.

-Stori hii inahusishwa na tukio la July mwaka huu Kevin alifumwa na msanii Monique ‘Momo’ Gonzalez kwenye gari aina ya Lexus

-Video hii mpya ni ya dakika 4 na sekunde 47, inaonyesha watu wawili kitandai wakifanya Ngono ila huwezi jua kama ni Kevin au mtu mwingine.

-FBI tayari wameanza kufanya upelelezi sababu tayari kesi hii imekuwa ya Utapeli na BlackMail.

 #SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open