Burudani

Kauli ya Kendrick Lamar kuhusu wasanii kuandikiwa mashairi inamuhusu Drake, Beef ?

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya Drake kuandamwa na Meek Mill kuwa anaandikiwa mashairi yake sasa Kendrick Lamar naye ameamsha dude…

Kwenye Interview na jarida la Rolling Stone, Kendrick Lamar amehojiwa kuhusu wasanii wa Rap wanaoandikiwa mashairi na waandishi wa siri #GhostWriters nakusema hawastahili kuitwa BEST RAPPERS Kitu ambacho Drake hupenda kuitwa….

Kendrick Lamar anasema >Inategemea na eneo unalojiweka, mimi najiita rapa bora zaidi, siwezi kujiita rapa bora zaidi kama naandikiwa mashairi, ila kama unasema wewe ni msanii tofauti na hujali kuhusu sanaa ya kuwa rapa bora basi sawa,tengeneza muziki mzuri ila hutoitwa rapa Bora zaidi” 

K-Dot pia amefunguka kuhusu wa sanii wa rapa kutengeneza muziki wa pop ili kupata mafanikio ya kifedha zaidi, Kendrick anasema > ‘Ni sawa kufanya hivyo, utapata wimbo mkubwa ila huto kuwa na ile heshima unayotaka’

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open