Burudani

Kundi la wasanii wa kutoka Kenya CampMulla Limetangaza kurudi tena

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kundi la wasanii wa kutoka Kenya CampMulla Limetangaza kurudi tena kwenye muziki na album mpya.

CampMulla lilipata umaarufu kupitia hits zao kama Fresh All Day na Party Dont Stop walitangaza kurudi tena na kufanya album mpya kwenye show ya Tekno Miles wiki hii nchini Kenya.

CampMulla linaundwa na wasanii Kus Ma, Shappaman na Tiri, Karun, Thee MC Africa.

Kwenye IG yao wameandika> This is for the fans! It’s time for Kenya to lead African music into the next age. We are ready to serve you more hits, back older and wiser. This Party Don Stop. #Mulla17 #Kenya #Music #Africa#Coolness

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open