Burudani

Kendrick Lamar na Rihanna wafanya video ya colabo yao ‘Loyalty’….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kendrick Lamarna Rihannawamethibitisha kufanya video ya coalbo kutoka kwenye album ya KendrickDAMN iliypewa jina ‘LOYALTY’.

Kendrick alifunguka kuhusu kufanya kazi na Rihanna katika mahojiano na Zane Lowe wa Beats 1 Radio na kusema “Nilikuwa na hamu sana ya kufanya kazi na Rihanna, napenda kila kitu kuhusu yeye, haswa usanii wake na jinsi anavyojituma kutoka kazi bora“.

Hii itakuwa video ya tatu kutoka kwenye album ya DAMN baada ya kutoka kwa ‘HUMBLE’ na ‘DNA’.

#SammisagoNEWS

 

 

Weka Comments Hapa

Open