Burudani

Rekodi,Ndani ya Saa 38 Video ya Ali Kiba ‘Seduce Me’ imetazamwa na watu Milioni Moja kwenye VEVO

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rekodi mpya kwenye Bongo Fleva imewekwa na msanii Ali Kiba leo August 26 2017 baada ya Video yake ya ‘Seduce Me’ kutazamwa na watu milioni Moja ndani ya Saa 38 kwenye VEVO

Kupitia Instagram yake Ali Kiba alitoa Asante kwa mashabiki wake wa kweli Ahsanteni sana. Thank you for the love, I couldn’t be more blessed and favoured. You mean a lot to me and I do this for YOU. Nawapenda sana #RockstarTV #SHOOOOSH #SonyMusicAfrica  #RockStar4000  #KingKiba

Video kubwa zilizowah kuweka rekodi kwenye Youtube Tanzania ni pamoja na Video za Ay Ft Diamond Platnumz ‘Zigo’ Remix’ , Diamond Platnumz ‘Miss You’, Eneka, Roma ‘Zimbabwe’ 

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open