Burudani

Kanye West na Kim Kardashian wajitayarisha kumpokea mtoto wao wa tatu

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Familia ya Kanye West na Kim Kardashian imeanza kuandaa mazingira ya kupokea mtoto wao wa tatu ingawa mpaka sasa hakuna kithibitisho chochote kutoka kwao kuhusu taarifa za mtoto wa tatu.

 
Mapaparazzi wamethibitisha kuwa weekend hii Kim K alifanya Baby Shower ya kumkaribisha mtoto huyo ambaye atazaliwa na Mwanamke Mbadala (Surrogate) aliyelipwa zaidi ya dola laki tano na Kanye West.

Waliohudhuria Baby Shower hiyo ni pamoja na ndugu zake Kim K Kendall, Khloe, Kylie Jenner, mke wa John Legend ‘Chrissy Teigen’.

Awali TMZ Iliripoti awali kuwa mtoto huyu wa tatu wa Kanye na Kim atazaliwa   January, 2018.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open