Burudani

Alichoandika Dogo Janja baada ya kupiga picha na Ali Kiba

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa na Mwimbaji Dogo Janja amefunguka kupitia Instagram nakusema Ilikuwa ndoto yake kupiga picha na Ali Kiba.

Dogo Janja kwenye IG Aliandika >Alhamdulilah leo nimetimiza ndoto yangu ingine yakupiga picha na alikiba @officialalikiba 

Post Hii mpaka sasa imepata zaidi ya comments 900


#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open