Burudani

Kanye West na Kim Kardashian kupata mtoto wa Kike,masharti makali aliyopewa dada mjamzito yako hapa….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Tovuti ya habari za burudani nchini Marekani #TMZ imesema ni kweli Kanye West na Kim Kardashian wanategemea kupata mtoto wao wa tatu kutoka kwa mwanadada waliomlipa kubeba mimba hio na inasemekana ni mtoto wa kike.

SammisagoTv Imejifunza kuwa Kim K na Kanye West wamemlipa dada huyu dola 45000 [Tz Sh 100,890,000] ili kubeba mbimba hio akiwa chini ya uangalizi mkali wa madaktari na walinzi wa Kanye West ili asihatarishe maisha ya mtoto huyo.

Bi dada huyu hatoruhusiwa kufanya mambo yanayoweza kuhatarisha maisha ya mtoto wa Kim na Kanye West kama kuvuta sigara, kunywa pombe, kutumia dawa za kulevya, kuoga kwenye maji ya mtoto sana, na anatakiwa kula vizuri muda wote.

Kwenye uko wa Kardashian atakuwa mtoto wa kike wa #9

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open