Burudani

2017,Kim Kardashian na muonekano mpya….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kim Kardashian West amebadilisha muonekano wake tayari kwa picha za mitandaoni mwaka 2017.

Kim ameonyesha muonekano huu kwa mara ya kwanza wakati anampa mashavu rafiki yake kipenzi Paris Hilton kwenye siku yake ya kuzaliwa kwa kwa kuweka nywele za #Blonde kama Paris….

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open