Burudani

Picha,Mlinzi wa Kim Kardashian kufukuzwa kazi na Kanye West, kosa lake au ajali kazini ?…..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mlinzi wa Kim Kardashian ametajwa kufukuzwa kazi na Kanye West baada ya kushika makalio ya mke wake akiwa kazini.

Kim K alikuwa akizungumza kwenye mkutano wa wanawake wa Forbes mjini New York City na wakati mlinzi huyu anamfungulia mlango, alimshika makalio kama picha zinavyoonyesha….

Haijuikani kama alikusudia kitendo hichi au ilikuwa ajali kazini….

ANGEKUWA MKE WAKO UNGEFANYAJE ?

 Video,Amber Lulu amkataa Shilole, atoa kauli ya mwisho kuhusu Mahusiano na Young Dee, je kweli kalala na Prezzo….

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open